Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Mi nahisi nachukiwa sana, haiwezekani mada yangu muhimu ya tozo ipate replies 2 tu bila likes hata moja huku mada ya uongo ya Mpwayungu Village ya kwamba alienda Rwanda kula ugali tu na kugeuza kurudi inapata replies na likes nyingiii. Nachukiwa sana!
Watu humu wanapenda mizah vitu vya msingi apendi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa bwana 🤣 unataka sie tutaje afu we hujataja! usitugombanishe
 
Sipendi tabia ya wale watu ambao wanajiona special sana...yaani muda wote anahisi unamfuatilia,, anajiona nani sijui.
Kujipa umuhimu ambao wala hata hawana
Mtu niache kuhangaika na maisha yangu kwenye hii nchi iliyojaa tabu za kipumbavu,nianze kuhangaika kufuatilia mtu ambaye haniingizii chochote !
Huku ni sehemu tunaburudika tu,huku kila mtu akipambana na hali yake huko nje.
Aiseee,Kuna watu ni wapumbavu sana.

Nimeyatupia kwenye ignore list huko .

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Liverpool VPN kitendo Cha kuhamasisha tusioane anataka tuishi na upweke.2. mzabzab kushadadia na kuhamasisha wengine walipende tope.3. Beesmom kujifanya anapenda mikuyenge wakati Yeye ni member wa CHAPUTA ya kike😏 na mwisho kabisa ambaye nikimwona moyo wangu unafura Kwa hasira ni Smart911 ila sababu sijui🙄
Tusichukiane jirani... Ila si ulikua na moto mwenyewe sasa kosa langu nini kukupelekea moto au...
Embu lia nicheke jirani...
 
Kuna huyu aliomba nitume ya nauli,. NIKATUMA 50k halafu akaniblock. Nina hasira sana. Ajue namba za noti niliziandika. Naenda kwa Fundi. Ajipaenge atanunua mikate ajaze chumba si kwa kuvuja kule

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli hizi ni siku za mwisho, kwa hiyo unamuonea wivu huyo dada nayempenda? Unatamani uchukue nafasi yake?
Ona usivyo na akili manina zako. Usinihusishe na matendo yaliyo machukizo shenzi wewe. Unapenda kuongela uchafu jirekebishe pumbav.uu wewe
 
Back
Top Bottom