Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Powder 🍺Nimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.
Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo....!
Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.....
Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.....
Akajirekebisha.
No ujinga me hata sitakagi just Nani kaanzisha thread Sina nachokumbuka kuhusu yoyote humu hi maswala mtu anauliza swali utasikia Kuna jinga linamention watu kadhaa kwamba wenyewe ndo ma genius na wenyewe wanakuja kifua wazi sipendi sanaMe kiranga simchukii ila naonaga watu wanamwona ana akili nyingi lakini me naona wa kawaida Sana yaani hizo akili zinazosemekana anazo NI akili hewa ..gentamicine kiukweli simpendi na wale wote ambao wanapenda kujadili mtu na sio ishu yaani mtu anajifanya kukujua Sana .kwa mfano labda thread ya zamani uliwahi kusema unaishi iringa then baada ya miaka mitatu ukaja ukaanzisha thread nyingine anakuja boya kucomment eti vipi Bado uko iringa huu NI ujinga na shobo
Kweli kuishi ni kuona mengi!! kuumbe kuna watu weusi humu mnachukia hata AVATAR?? isiyosema. isiyo pumua??? kuumbe nimejua ndo maana siasa ya ujamaa ilishindwa!!Wala haina haja ya kutangaziana wakati kitufe Cha block kipo,, wanaonikera wote wapo ignore list yangu na wala sishtuki najisikia vizuri mno,
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata Mimi?Wala haina haja ya kutangaziana wakati kitufe Cha block kipo,, wanaonikera wote wapo ignore list yangu na wala sishtuki najisikia vizuri mno,
Mh huu ujumbe Ni wangu?Kweli kuishi ni kuona mengi!! kuumbe kuna watu weusi humu mnachukia hata AVATAR?? isiyosema. isiyo pumua??? kuumbe nimejua ndo maana siasa ya ujamaa ilishindwa!!
Mie kabisaaa siangaliagi ni nani kaandika hapa!! mie nasomga thread tyuuu!! basi!! nikifoka nafoka lkn hapo hapo nikikutana na thread yako nyingine umeandika vizuri umenifurahisha nakupa Big up!
ila nikiangaliaa saana Avatar imenivutia hasa wadada wenzangu wengi ni wastaraabu sana!........ila inatokeaga kubishana na me sana mpaka wanashindwa kujitambua guts zangu ni za kiume!
Haumo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Hata Mimi?