CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
MATHAYO. 5: 44-45
Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni;
maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.