Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

MATHAYO. 5: 44-45

Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni;

maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
 
Mama ako mwenyewe ni Ex wa jirani yetu, na kaolewa na baba ako 🤣🤣
Namuonea huruma kichanga chako sema najiuliza kwann hamkuwezeshwa mpaka umri huu mnaishi kwenye nyumba za kupanga ni aibu sana.

Mama angu ni ex lakini anaishi kwake. Nyie mna nini cha maana na umri wenu 🤣🤣🤣🤣🤣.

Au ni gono na ukimwi linalotafuna akili yenu saivi.. 🚮🚮🚮🚮.

Siku nyingine ukitembea na ex wa mtu sio sifa usijitangaze sana.

Au mlidhania kuna tuzo mmechezew mmeachwa..

Huyo Lenie katoa mimba ngapi mpaka sasaivi. 😂😂😂😂 Na sura yake kama ngombe
 
af soon kuna rematch uje na ww ushike miguu.. maana unaneng'eneka sana.
Pole, sihudhuriagi re match za mademu wenye matako madogo.

Au kwenye rematch kuna demu tofauti na nyie ndo mniite.
 
Pole, sihudhuriagi re match za mademu wenye matako madogo.

Au kwenye rematch kuna demu tofauti na nyie ndo mniite.
Na hayo mataqo yenu mbona bado mnaozea kwenye kota za serikali? 🤣

Kila mtu na fleva yake na ndio maana choko wenu alikufa akaoza, mwambie akuhadithie vizuri..
 
Nyie kmnina mjitafute mjipate
Muache kuwashwa na watu wasiohusiana na nyie kwa lolote 😂
Kwani ungetembea nae alafu ungekausha ungepungukiwa nn rafiki. Au ulidhani kutembea naye ni kama umetembea na mondi sio.

Kwamba kuna kiki ya kutusua kama wakina zuchu 🤣🤣🤣🤣.

Wenzenu walioliwa naye wametulia kama maji kwenye mtungi nyie mlovyokurupuka sasa utadhani sijui nn.

Sema najua ulikuwa unawaonea wivu sana pindi walipokuwa together. Kwann sasa? Ni njaa ya mahusiano au ni nn bidhaa haina mnunuzi 🚮
 
Na hayo mataqo yenu mbona bado mnaozea kwenye kota za serikali? 🤣

Kila mtu na fleva yake na ndio maana choko wenu alikufa akaoza, mwambie akuhadithie vizuri..
Alikufa au alitaka kutimiza fantasy yake au ulikuwa hujui.

Kaoza kwani umempunyua shs ngapi. Mpaka saizi.

Kama alikufa mbona hamkumbebea hata mtoto wa kusingiziwa.

Thread mmewahi kuanzishia kwani?

Au kambi bado ipo
 
Exactly
Huyo mshenzi anatafuta sababu ya kuongelewa
Leo kayakanyaga shenzi zake
Mtoto wa kiume kuwaonea wivu watoto wa kike si ujinga huo
Ukweli unauma lakini. Sio eeeh

Mizoga Mmekosa soko huko mnakuja kujibrand huku. 🚮🚮🚮
 
Alikufa au alitaka kutimiza fantasy yake au ulikuwa hujui.

Kaoza kwani umempunyua shs ngapi. Mpaka saizi.

Kama alikufa mbona hamkumbebea hata mtoto wa kusingiziwa.

Thread mmewahi kuanzishia kwani?

Au kambi bado ipo
We all have some fantasies
What if 1 among mine was to hit him? Am not that much Saint.
Huna hoja we paka wa bar
Kalale
 
Asa unamchukiaje mtu usiemjua? Kukosa kazi tu
Nafikiri alitakiwa kusema unaochukia ushiriki wao.

Biafsi wapo kibao sipendi michango yao aidha kiitikadi au kuña wale wanasifiwa kwa uandishi wa stori ila mimi nawaona wako shallow mno so naona wanapewa sifa za bure.

So simchukii mtu ila nachukia mastori yao ya kawaida mno
 
Back
Top Bottom