Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ona usivyo na akili manina zako. Usinihusishe na matendo yaliyo machukizo shenzi wewe. Unapenda kuongela uchafu jirekebishe pumbav.uu wewe
Nihakikishie kama humuonei wivu huyo dada, nihakikishie pia kama hutamani kuwa Kama yeye.
 
Vijana kama nyie siku hizi hamuaminiki kabisa, mmekua rojorojo sana. Ndio maana naomba unihakikishie hutamani kuwa kama huyo dada
Mie mwanaume wa shoka haswaaa . Sio lege lege hata kidogo... sijakulia broiler mie
 
Huwa siangalii post imetoka kwa nani, naangalia hiki kinafaa kusoma au kujifunza kama hakinifai ni chenyewe hakinifai wala sio alie kileta.

Nawaheshimu sana kila membar hapa jf kwani hatulingani kifikra.
Wakati ukijiona huyu ni mjinga anaandika ujinga kuna mwingine ana akili kushinda wewe nae alikiona mjinga utajisikiaje?

Tunatofautiana kifikra kimtazamo na kiuwezo pia, kikubwa kuheshimiana na kusitiriana udhaifu wetu.
Ukiona Uzi wa kuwaandika watu tunaowapenda nishtue mkuu.
Ninakukubali sana.
 
Avatar moja inajiita cocastic, inasapoti sana mambo kunuka na kupakana mavimavi jinsia moja utafikiri inalipwa.
 
Mtu simfaham, hajifaham, sina muunganiko wowote na yeye, iwe kiuchumi wala kijamii naanzaje kumchukia. Aisee maisha yana mambo mengi ya kufanya, kuingia hapa ni kujiburudisha, kupata habari na connections kama zipo, mengine nawaachia wenye kuweka chuki. Ukinichukua fanya 2^x maana ni dhahiri huna vitu vya msingi vya kufanya.
 
Back
Top Bottom