Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Nimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.

Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo.

Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.

Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.

Akajirekebisha.
Watetezi wote wa uuzwaji wa bandari.
 
Kanatumwa bure halafu hata hakalishwi vizuri. Kama kile kiumbwa cha wema😂😂
Karibu rice beans. Au unakulaga pizza kama machangu wenzako Depal na Lenie
IMG_20230707_140935.jpg
 
Namchukia To yeye . Tulibadilishana namba PM. Tukapanga appointment. Ile nimefika eneo tulilopanga kukutana nashangaa nampigia hapokei. Baadae jioni nikamtext kwanini alifanya vile, akanijibu hakutegemea nitakwenda kwa mguu. Nkamuuliza ulitaka nije kwa kichwa, akaniblock😊
 
Depal Lenie Darlin bado mnaringishia kula pizza.

Tarangire tumeenda kwanzia class 4 sio sehemu ya kuvimba kabisa mngepelekwa dubai nyie si mngegongwa mtungo na mkawzjumlisha na ndugu zenu wa kike.

Mnapata exposure ya vitu vingine too late in life.. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom