Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Shida ipo, katika hali ya kawaida tu mwanaume huwezi kupagawa na kila mwanamke. Lazima choice iweposhida ikowapi kwa mfano
Wewe akiwa mnene unapagawa, akiwa mwembamba unapagawa, akiwa mrefu unapagawa, akiwa mfupi unapagawa, akiwa mweupe unapagawa akiwa mweusi unapagawa, yaani wewe kazi yako ni kupagawa tu?