Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Watetezi wote wa uuzwaji wa bandari.
 
Namchukia To yeye . Tulibadilishana namba PM. Tukapanga appointment. Ile nimefika eneo tulilopanga kukutana nashangaa nampigia hapokei. Baadae jioni nikamtext kwanini alifanya vile, akanijibu hakutegemea nitakwenda kwa mguu. Nkamuuliza ulitaka nije kwa kichwa, akaniblock😊
 
Depal Lenie Darlin bado mnaringishia kula pizza.

Tarangire tumeenda kwanzia class 4 sio sehemu ya kuvimba kabisa mngepelekwa dubai nyie si mngegongwa mtungo na mkawzjumlisha na ndugu zenu wa kike.

Mnapata exposure ya vitu vingine too late in life.. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…