Ni member gani JF huwa akileta uzi wa aina flani huwa anautendea haki?

samcezar......lara 1........mshana jr.........
 
Mi hata huwa siangalii ID zenu,mi huwa na-concetrate kwenye ujumbe!....
 

Lizaboni
 
Kuna member wanaleta uzi umeshiba haswa na unatia hamasa kuusoma mpaka kukoment.
Respect kwa wale wote wanaonegesha majukwaa ya Jamii Forum kwa kuleta vitu vilivyoshiba na kuifanya JF kuwa jukwaa lenye mvuto.
 
Kuna mwanamke mmoja tu humu ndani ana uwezo wa kipekee halafu ni smart kinoma noma
lara 1

Hao wanaume watasifiwa na wanawake teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…