Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, wewe ni kiboko maana nawe umechangia kama vile umekatwa kichwa!Mimi huwa navutiwa na Jingalao pamoja na Stroke! Huwa wanajibu kama wamekatwa vichwa!
Wakuu hope mko poa,
Kuna watu humu JF huwa wanapatia sana wakileta nyuzi za aina flani namaanisha akileta nyuzi za namna hiyo uwa zinavutia sana kwa upande wangu ni hawa hapa;
1: Mshana Jr huyu jamaa kwa mada za kichawi na zakutumia lugha za picha huwa anaweza sana kama umezoea vitu vyepesi huwezi kumuelewa kabisa ana mada dizaini kama zakufikilika hivi.
2: Stunter [emoji1] [emoji1] huyu jamaa nyuzi ambazo huwa anazipatia ni za kuwakandia mademu hasa masistadu na alishalijua hilo ndio maana anakazia hapohapo,
3: Chief Mkwawa huyu maswala teknolojia hasa simu namkubali sana usiombe akawa ameandika mapungufu ya simu ulionayo anatoa data mpaka anaboa japo huwa ni ukweli mtupu.
4: Warumi huyu mtu mada za chini ya kapeti kutoka kwa wasanii nampendeaga za ubuyu wa mjini huwa anazipatia sana sijui huwa anaztoa wp japo kapunguza siku hizi.
The Bold dha huyu jamaa hapana chezea mada zake zote ni kali sijui anaztoaga wapi.
Endelea na wewe mkuu watu unaowakubali kwa mada zao za aina flani.
Teh, karibu sana. tumekumisooo.Narudi soon kwa kasi kubwa.
Hahahahah!!The Bold
Huyu jamaa mimi ni mfuasi wake sana. Akianzisha kanisa nitahamia
Wow! Mnanitia moyo sana wakuu..Naam...bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno ni The bold.
Hatari sana.