baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
Kadi ya uanachama ulinikabidhi wewe?Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
Hakuna mwana CCM asiyeisifia vizuri ccm yake inayomlisha.Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
Hata Pascal Mayalla naye mnampuuza?Huyo Mwana CCM bado hajazaliwa.
Huwa nayapenda sana majibu yako mujarabu kabisaKadi ulinikabidhi wewe?
Upo sahihi kabisa
ccm wenye akili ama wameamua kukaa kimya ama wamejiunga na CDMHapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao

😂😂😂Kadi ulinikabidhi wewe?