Ni member gani mwana CCM angalau anakubalika kwa michango yake hapa JF bila kuegemea Upande?

Ni member gani mwana CCM angalau anakubalika kwa michango yake hapa JF bila kuegemea Upande?

Sio sana ila nadhani wewe ni mwana CCM usiye egemea sana upande hua unajitahidi

Au ulitumbuliwa ?
Mimi hustler tena kipindi cha mama ndo nimepata mchongo wangu wa kwanza nafikiri miaka miatatu nyuma always napenda HAKI mimi ni muumini wa HAKI nikiletaga nyuzi za mama huwa wananipopoa sana sema democria ya JF watu wanapenda kuskia wanayoyapenda tu😂😂
 
Ni tag huo uzi




Kwa sasa hizo zinakutosha.

Haya bisha sasa sikuwahi kumkosoa Magufuli…..msssenge wewe 🖕.
 




Kwa sasa hizo zinakutosha.

Haya bisha sasa sikuwahi kumkosoa Magufuli…..msssenge wewe 🖕.
Hata mimi nilimkosoa mbona sio big diri sana kwaida kama unaona nimekukosea nisamahe
 
Back
Top Bottom