Ni member gani mwana CCM angalau anakubalika kwa michango yake hapa JF bila kuegemea Upande?

Ni member gani mwana CCM angalau anakubalika kwa michango yake hapa JF bila kuegemea Upande?

Mimi hustler tena kipindi cha mama ndo nimepata mchongo wangu wa kwanza nafikiri miaka miatatu nyuma always napenda HAKI mimi ni muumini wa HAKI nikiletaga nyuzi za mama huwa wananipopoa sana sema democria ya JF watu wanapenda kuskia wanayoyapenda tu😂😂
Sie tusio na vyama tunaangalia tu mnavyotwangana humu

Sema sijui kwanini ukakataa mchongo
 

Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 13
Kuna mmoja ID yake imenitoka, mara ya mwisho kumuona kwenye mijadala ni baada ya october 25.

Anapenda sana ule mjadala wa Hayati Magu na makinikia, hampendi Lissu hata theluthi. Ukiachana na hili ana akili timamu kichwani.

Wengine wote takataka wakiongozwa na wanaoshabikia mauaji.
 
Back
Top Bottom