Ni member gani mwana CCM angalau anakubalika kwa michango yake hapa JF bila kuegemea Upande?

Sie tusio na vyama tunaangalia tu mnavyotwangana humu

Sema sijui kwanini ukakataa mchongo
 
Kuna mmoja ID yake imenitoka, mara ya mwisho kumuona kwenye mijadala ni baada ya october 25.

Anapenda sana ule mjadala wa Hayati Magu na makinikia, hampendi Lissu hata theluthi. Ukiachana na hili ana akili timamu kichwani.

Wengine wote takataka wakiongozwa na wanaoshabikia mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…