Ni member gani mwana CCM angalau anakubalika kwa michango yake hapa JF bila kuegemea Upande?


Tabia ya kusupport mauaji ya samia ndo imedhihirisha wana ccm ni wendawazimu, inawavua akili wana ccm wote kwa kuyasupport. Hapo ndo wengine hata wasio na vyama wanaonekana Chadema lakini kimsingi ni wapinzani wa mambo ya kipuuzi ya Samuya.


Kama si mwanasiasa basi usiwe mfuasi wa mtu hata kwa mambo ya kijinga, tuwe wafuasi wa Haki bila kujali nani mwenye mamlaka.

Hata kesho Chadema / Lissu akishika madaraka akakengeuka apingwe tu.
 
Hata mimi mwanzo sikujua kama wana wazimu kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…