Labda baz kaiza!Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
Si umesema ulipata dili uka li escape mume wanguπMchongo gani mke?
SafiiiiNililifanya milioni kadhaa mama hana baya
Nilikua nataka kuachana na jf,kwa hiyo nisiachane nayo kwa ajili yako siyo!?πNapenda unavyo wanyoosha wagalatia wa TEC pale wanapopinda wote wa ccm na chadema
Mimi mwenyewe nasaka diliNipe diri nikamate maela j
Hivi una nichukuliaje?Unataka uniteke ππ
Kama unaona nipo serious basi nipe mchongo niache kushinda humu please mchumbaNakuchulia mtu serious sana na kazi
Alikuwa Thadei Ole Mushi(M.A.P) ,wengine hamna kitu.Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
Huyu ni kama sigara nyota.Hata Pascal Mayalla naye mnampuuza?