Nashamga.Kabisa watuache bhn vitoto tumekuwa facebook agrrrrr
Si unajua tenaa mwenzio nahisi I'd kongwee zinajitambua kumbe nao wamoo wanajishusha uvulana[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhhaha.....umenishinda tabia.
Yaani namuona sawa na kigodoro changu.na mwanamue bila pesa hanogi kbs,,,sijui kwann!
Kwanza Jf huku kama sio muhenga huwez kuiona kirahisi bhn agggr watuacheeeNashamga.
Waende chama la wote huko Fb huko mpaka akina Salma Khan wapo.
Huku kihindi na sie wapi na wapi.
Wasitukaushe bandama bhana
Na kuna mmoja alishadadia eti "wakija wadada hapa, nakupa pesa"Pambyeeee naona walisema kwann hatuwez kushiriki mada ngumu mfyuuu hiyo siyo kazi yetuuu na wenyewe waache umbeyaa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
HahahahahajYaani namuona sawa na kigodoro changu.
Kwanza mwanaume mwenye pesa, hata akipumua nampa pole.
Asie na pesa sasa......
Tena I'd kongwe zinajikutaga malaika.Si unajua tenaa mwenzio nahisi I'd kongwee zinajitambua kumbe nao wamoo wanajishusha uvulana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madame b bwana!kumlea mtu mzima mwenzio kipaji hichoooWanataka kulelewa.
Na usawa huu kulea mtoto tu shughuli ndo niongeze njemba....hebuuuu
Hahahhaha kitambi cha mataputapu a.k.a balimi za buku jerooo tambii limejaa ngano[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Na kuna mmoja alishadadia eti "wakija wadada hapa, nakupa pesa"
Mwambie tumekuja kama woteeeeeee......
Ampe pesa mwanzisha mada kama anazo.
Mfyuuuuu zake.
Na tumbo lake kama fuko la mbolea
Watuache kabisa.Kwanza Jf huku kama sio muhenga huwez kuiona kirahisi bhn agggr watuacheee
Sasa na mm naendeleza kigezo changu cha mihela midorali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena I'd kongwe zinajikutaga malaika.
Hakuna hiyoooooo...
Mwanaume ni mwnaume, tofaufi ni mwenye pesa na kapuku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madame b bwana!kumlea mtu mzima mwenzio kipaji hichooo
Yaani namuona sawa na kigodoro changu.
Kwanza mwanaume mwenye pesa, hata akipumua nampa pole.
Asie na pesa sasa......
Jukwaani wanajikutaga classic.Hahahhaha kitambi cha mataputapu a.k.a balimi za buku jerooo tambii limejaa ngano[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Uwiii kuna codes kali za Jf ninazo siku nikiziachia kuna watu watazimiaaa walllahWatuache kabisa.
Wamefanya mpaka tumefunga pm zetu.
Pesa huna kazi kushinda pm.
Bora akasinde bandari akahesabu kontena zinazoingia pale
Unalea mtu mwenye meno yake 32?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madame b bwana!kumlea mtu mzima mwenzio kipaji hichooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante shurti umpe pole si katoka kutafuta anapumua halali yakeYaani namuona sawa na kigodoro changu.
Kwanza mwanaume mwenye pesa, hata akipumua nampa pole.
Asie na pesa sasa......
Pesaaa mihelaaa kama ya boss wangu yule wa Kabilaaa mzee wa farangaaaJukwaani wanajikutaga classic.
Heheheheh, nenda kwenye maisha yake halisi.
Unaweza jiona unaota.
Wanaume wa humu punguzeni mbwembwe.
Peaa ndo mpango mzima
Ziachie bibi weeeeUwiii kuna codes kali za Jf ninazo siku nikiziachia kuna watu watazimiaaa walllah
Hahaaa!!hapo sasa...unaelea mtu mzima mwenzio na masharti atakupangia!!!Unalea mtu mwenye meno yake 32?
Wote manakutana chooni mmechuchumaa?
Kama wanataka kulelewa waje na mapot yao