Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

Nashamga.
Waende chama la wote huko Fb huko mpaka akina Salma Khan wapo.
Huku kihindi na sie wapi na wapi.
Wasitukaushe bandama bhana
Kwanza Jf huku kama sio muhenga huwez kuiona kirahisi bhn agggr watuacheee
 
Pambyeeee naona walisema kwann hatuwez kushiriki mada ngumu mfyuuu hiyo siyo kazi yetuuu na wenyewe waache umbeyaa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Na kuna mmoja alishadadia eti "wakija wadada hapa, nakupa pesa"
Mwambie tumekuja kama woteeeeeee......
Ampe pesa mwanzisha mada kama anazo.
Mfyuuuuu zake.
Na tumbo lake kama fuko la mbolea
 
Si unajua tenaa mwenzio nahisi I'd kongwee zinajitambua kumbe nao wamoo wanajishusha uvulana[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena I'd kongwe zinajikutaga malaika.
Hakuna hiyoooooo...
Mwanaume ni mwnaume, tofaufi ni mwenye pesa na kapuku
 
Na kuna mmoja alishadadia eti "wakija wadada hapa, nakupa pesa"
Mwambie tumekuja kama woteeeeeee......
Ampe pesa mwanzisha mada kama anazo.
Mfyuuuuu zake.
Na tumbo lake kama fuko la mbolea
Hahahhaha kitambi cha mataputapu a.k.a balimi za buku jerooo tambii limejaa ngano[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Tena I'd kongwe zinajikutaga malaika.
Hakuna hiyoooooo...
Mwanaume ni mwnaume, tofaufi ni mwenye pesa na kapuku
Sasa na mm naendeleza kigezo changu cha mihela midorali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
madame spare my ribs jaman! uwiii had nimepaliwa!ahhh wewe mdada ni mwehu namba 1!aaaaaaaaahhhhhhhhh!mwanamke ht akose pesa bado anakuwa romantic anavutia!khaaaaaaaaaa upande wa 2 sasa!afu bora usiwe na pesa na usiwe talkative!pesa huna kelele wewe bar nzima tukuangalie !arghhhh!leo ntacheka siku nzima aisee

Yaani namuona sawa na kigodoro changu.
Kwanza mwanaume mwenye pesa, hata akipumua nampa pole.
Asie na pesa sasa......
 
Hahahhaha kitambi cha mataputapu a.k.a balimi za buku jerooo tambii limejaa ngano[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Jukwaani wanajikutaga classic.
Heheheheh, nenda kwenye maisha yake halisi.
Unaweza jiona unaota.

Wanaume wa humu punguzeni mbwembwe.
Peaa ndo mpango mzima
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madame b bwana!kumlea mtu mzima mwenzio kipaji hichooo
Unalea mtu mwenye meno yake 32?
Wote manakutana chooni mmechuchumaa?
Kama wanataka kulelewa waje na mapot yao
 
Yaani namuona sawa na kigodoro changu.
Kwanza mwanaume mwenye pesa, hata akipumua nampa pole.
Asie na pesa sasa......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante shurti umpe pole si katoka kutafuta anapumua halali yake
 
Jukwaani wanajikutaga classic.
Heheheheh, nenda kwenye maisha yake halisi.
Unaweza jiona unaota.

Wanaume wa humu punguzeni mbwembwe.
Peaa ndo mpango mzima
Pesaaa mihelaaa kama ya boss wangu yule wa Kabilaaa mzee wa farangaaa
 
Back
Top Bottom