Lets Get Together
JF-Expert Member
- Nov 26, 2019
- 258
- 429
- Thread starter
-
- #181
Get together party ndio Itawaumbua wengi, Ila nahisi wengi hawaezi kwenda kuogopa aibu
Distributed Denial-of-Service
Kabisaaa afanye hivyo maana syo kwa mautamu hayoAtume kapicha please
Distributed Denial-of-Service
Nahisi walienda wale wanaojiweza kimtindo.Kuna wakati nakumbuka watu walienda kutoa msaada ocean Road bahati mbaya sikuwepo huko ila walikutana baadhi ya wana jamii na kwenda kusaidia huko
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mpaka sasa rikboy/baba wa kula tunda kimasihara hajatajwa wakati ndio mtaalam aliyeleta burudani mujarab MMU
Cosmasjulius
Distributed Denial-of-Service
Nina amini atajibuhuamini kama atajibu?
Unazungumziwa sana kwenye huu uzi pitiapitia maoni ya wadau wanakusifia kuwa una utamu , hebu declare interest hapaNina amini atajibu
Utamu? 🙄Unazungumziwa sana kwenye huu uzi pitiapitia maoni ya wadau wanakusifia kuwa una utamu , hebu declare interest hapa
Sijaelewa hiko kingereza hapo mstari wa piliShes so sweet I hope
Distributed Denial-of-Service
Nimeshangaa hivyohvyo we pitia maoni huko juuUtamu? 🙄
Hata sijaonaNimeshangaa hivyohvyo we pitia maoni huko juu
Sijaelewa hiko kingereza hapo mstari wa pili
So many smart people In JF, kweli unakosa hata mmoja?
Distributed Denial-of-Service
Okay...basi tuombe uzima