Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nahisi walienda wale wanaojiweza kimtindo.
Hii mambo Imefia wapi siku hizi? Ni kitu kizuri sana.
Distributed Denial-of-Service
Thats DDoS, huez elewa hadi uwe mtu wa IT or the like.Sijaelewa hiko kingereza hapo mstari wa pili
Thats great, naheshimu maamuzi yako mkuu.
Thats great, naheshimu maamuzi yako mkuu.
Cheers.
Distributed Denial-of-Service
Sure!Walienda wanaoishi DAR wengi wao na huenda waliokuwepo hapo lakini walikuwa wa kila aina hata aliepeleka biscuit tu na maji
Lakini wagonjwa walifarijika sana kwa uwepo wao tu
Ni njia nzuri ya kujua haya maisha hayana formula
Huwezi kujua ya kesho Be humble
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sure!
Af sjaiskia tena hii mambo au pesa tatizo?
Distributed Denial-of-Service
Hiyo get together inafanyikia location gani mkuu?Get together party ndio Itawaumbua wengi, Ila nahisi wengi hawaezi kwenda kuogopa aibu
Distributed Denial-of-Service
Happy new year to you too.
JF Inaweza kuwa zaidi ya Forum kama members wengi wataamua kuanzisha something like Charity. Shida Inakuja kwenye uaminifu na Identity.Nafikiri ni kitu ambacho walibuni mara moja tu na sio endelezi ndio maana likafa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sijajua bado & sidhani kama kuna watu wamekubaliana, kampeni ndio Inataka kuanza.Hiyo get together inafanyikia location gani mkuu?
Hahahahaha.uyo namba tano ni msukule usiombe ukutane nae unaweza kukimbia mpaka ukadondosha moyo
Niambie mpenzi
Yeye mwenyewe ndio anayejisababishia hasira za watu ziwake juu yake mimi sikuwahi kuwa na bifu na yule mpuuzi kuna kitu tu niliuliza kwenye thread yake akanitusi toka siku hiyo namuona kama kima hivi tu majuzi alikejeli nikarudisha na tusi zito na ban nikalaHahahahaha.
Hapana mtu aliyemuongelea positive wengi wanamkandia sana. Jamaa anahitaji maombi mazito ya kufunga, kusifu & kuabudu.
Distributed Denial-of-Service
Najua Dos. Disk operating system ππThats DDoS, huez elewa hadi uwe mtu wa IT or the like.
Distributed Denial-of-Service
Alikujaga na ID flani ya eagle nini sjui.. Asee alikua anamwaga sumu sana hasa ukimwambia yeye ni Genta hamna rangi utaacha ona.Yeye mwenyewe ndio anayejisababishia hasira za watu ziwake juu yake mimi sikuwahi kuwa na bifu na yule mpuuzi kuna kitu tu niliuliza kwenye thread yake akanitusi toka siku hiyo namuona kama kima hivi tu majuzi alikejeli nikarudisha na tusi zito na ban nikala
Thanx. Sikujua Hilo. πHuyu "manzi" mi namkubali,,naonaga anafanya reasoning vizuri sana..