Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Kwa uchache nishaonana na members si chini ya 20, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto.
Ushauri wangu jihadhari na wale wajifanyao wema saaana, don't judge a book by it's cover!
 
Hivi tunaanzaje kuonana mtu unavaa ndala au sendo unatembea nazo mjini unaangalia mpira kwenye vibanda hujawahi hata kumiliki passport dah never hatuwezi onana na maisha yenu ya kuigiza hamuishi uhalisia wengi wenu hata uwanja wa ndege wa jknia hamjawahi kufika hata kwenye car parking Sasa tunaanzaje kukutana kea mfano mtu unanunua umeme wa luku wa elfu mbili huna madem wakali hujui hata fuel consumption ya magari hujui hata mfumo wa kubadili dola au foreign currency wengi humu mnanunua nguo za mitumba ila mkija jf mnajifanya supa wakati hata remote za tv hamjui kutumia mtu unakaa mji una joto Tanzania Kama Tanga na dar lakini huna air condition kwenye nyumba yako tunakutanaje acheni nonsense watu hata hamjawahi kutembelea mbuga za wanyama ndani ya nchi yenu maisha magumu vocha mnaweka za elfu tano na vibando vya gb tano kumi ndio umejitahiiiidi

Kukutana na mijitu ya Aina yenu humu Ni mbingu na ardhi poor you!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani umenielezea mimi A to Z. Poor me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salama kabisa
Weekend imeenda poa maana tumetoka kumnyamazisha haji manara taifa.
Huko ulaya Chelsea tumeua

Huku jf nako umejibu comment yangu basi burudaaani 😀
Manara Amekua mpoleee, nimefurahi pia kuona atleast nimetajwa na handsome Tony, tuko pamoja, uwe na wakati mwemaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom