Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello
Salama kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani umenielezea mimi A to Z. Poor meHivi tunaanzaje kuonana mtu unavaa ndala au sendo unatembea nazo mjini unaangalia mpira kwenye vibanda hujawahi hata kumiliki passport dah never hatuwezi onana na maisha yenu ya kuigiza hamuishi uhalisia wengi wenu hata uwanja wa ndege wa jknia hamjawahi kufika hata kwenye car parking Sasa tunaanzaje kukutana kea mfano mtu unanunua umeme wa luku wa elfu mbili huna madem wakali hujui hata fuel consumption ya magari hujui hata mfumo wa kubadili dola au foreign currency wengi humu mnanunua nguo za mitumba ila mkija jf mnajifanya supa wakati hata remote za tv hamjui kutumia mtu unakaa mji una joto Tanzania Kama Tanga na dar lakini huna air condition kwenye nyumba yako tunakutanaje acheni nonsense watu hata hamjawahi kutembelea mbuga za wanyama ndani ya nchi yenu maisha magumu vocha mnaweka za elfu tano na vibando vya gb tano kumi ndio umejitahiiiidi
Kukutana na mijitu ya Aina yenu humu Ni mbingu na ardhi poor you!!
Yaani hiyo sentensi ya mwisho naikazia kwa nguvu zoteKwa uchache nishaonana na members si chini ya 20, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto.
Ushauri wangu jihadhari na wale wajifanyao wema saaana, don't judge a book by it's cover!
😘😘😘 sie zaidi mpendwaHuku poa kabisa.
Just missing you.
[emoji1][emoji1][emoji1]Hahah mekumis mjomba umenitupa siku hizi
Boss mwenye house girl wake wa kufanya kazi za ndani![emoji1][emoji1][emoji1]Umefurahi mwenyewe unasalimiwa na boss wangu Rogie
Manara Amekua mpoleee, nimefurahi pia kuona atleast nimetajwa na handsome Tony, tuko pamoja, uwe na wakati mwemaa.Salama kabisa
Weekend imeenda poa maana tumetoka kumnyamazisha haji manara taifa.
Huko ulaya Chelsea tumeua
Huku jf nako umejibu comment yangu basi burudaaani 😀
AsanteeManara Amekua mpoleee, nimefurahi pia kuona atleast nimetajwa na handsome Tony, tuko pamoja, uwe na wakati mwemaa.
Sent using Jamii Forums mobile app