Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

Mkuu Mopak unaitwa uje utrend hapa!
ukileta mazoea ya kilokole hapa i swear utaniona mbaya na hata mdogo wangu hutampata na afu kama hujafkisha miaka 35 na unaniquote pasipo mwisho wa cku utaniona mbaya. Yaan jitu zima unaniita nitrend ni kama umenilipia wifi leo mzaburi. Au hujaelewa maana na huu uzi
 
Inasikitisha sana!
 
Inasikitisha sana!
naomba usiniquote kwa uzi wa mtu unless yaaani unless kama nimecoment. Hii mara ya pili kwene nyuzi ninazozikwepa ndugu yangu coz mimi sio kila uzi lazma nicoment lakin naona sasa unavuka mipaka. Kwa heshima tu nakuomba usinitag kwa nyuzi za watu maana ntajikuta naokoka na sina sadakalawe.
 
Amina... Mkuu amani ya BWANA iwe nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…