Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

Screenshot_20260716-131951_Chrome.jpg
 
Zama hizo nikiwa bado mjinga mjinga, nilijua watu wote wanaojiunga jf ni wenye akili timamu sasa ndio naona kumbe ni kinyume chake.
 
HEBU weka japo uzi wangu mmoja unaona ni wakijinga..?
Kitendo cha kuandika maneno kama Zanzibali,kujalibu tayari uzi unaangukia kwenye ujinga

 
Kitendo cha kuandika maneno kama Zanzibali,kujalibu tayari uzi unaangukia kwenye ujinga

Kama una uhakika ni ujinga sawa
 
Back
Top Bottom