Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kupenda, kuponda, hata kuchukia ni haki za mtu. Je ni members wapi unawakened au kuwaponda hapa jf na kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machawa wakiongozwa na Lucas Mwashambwa , MamaSamia2025 , chawa wa mama, ChawaWaMama, na wengineoKupenda, kuponda, hata kuchukia ni haki za mtu. Je ni members wapi unawakened au kuwaponda hapa jf na kwanini?
Mimi nawaheshimuni watu wote ikiwemo wewe mwenyewe. Kupenda ni hiari ya mtu na huwezi kupendwa na watu wote. hata yesu pamoja na kufanya miujiza na kuponya watu lakini kuna watu walimchukia na kumsurubisha
👆 huyu.Ukapimwe kwanza akili yako maana inaonyesha una dalili zote za Magonjwa ya akili.
Nakupenda wewe Numbisa.Niliowaweka ignore list