Ni members gani huwapendi humu JF?

Ni members gani huwapendi humu JF?

Wale wote wabinafsi wanaowaza maslahi ya chama baadala ya maendeleo Taifa lao na ustawi wa maisha ya watu.

Wale wote wadini na wakabila, walioweka maslahi ya dini zao mbele na kulifanya wao Waarabu au Wazungu zaidi kuliko maslahi ya Watanzania wenzao weusi waliokuwa kwenye dimbwi za umasikini, nawachukia Sana wale wenye ukabila zaidi kuliko utanzania na Watanzania wenzao kwa ujumla.

Masimango aliyofanyiwa Zele wa Ukraine na Trump na kundi lake ni funzo dhidi yetu wetu kupendana wenyewe Kwa wenyewe na kupenda Taifa letu ikiwa pamoja na kulijenga usiku na mchana.
 
Kupenda, kuponda, hata kuchukia ni haki za mtu. Je ni members wapi unawakened au kuwaponda hapa jf na kwanini?
Mzee mzima ,kiranja wa machawa na bingwa wa kujikomba na kujipendekeza ,mzee wa kububujikwa na machozi ,,,ndugu Luka
Mimi nawaheshimuni watu wote ikiwemo wewe mwenyewe. Kupenda ni hiari ya mtu na huwezi kupendwa na watu wote. hata yesu pamoja na kufanya miujiza na kuponya watu lakini kuna watu walimchukia na kumsurubisha
Umeishia darasa la ngap ww huwez todautisha ni wakat gan wa kutumia L na R??
 
Back
Top Bottom