Ni members gani huwapendi humu JF?

Ni members gani huwapendi humu JF?

Kina member linaitwa BUFA nalichukia sana lenyewe kila Uzi linataka ligi tuuu na Ubishani

Me napendwa na warembo. Wewe mmatumbi hunijui sikujui unipende itaniongezea nini?

Nipo vacation Europe hapa wewe endelea kunichukia 😂 😂 😂

2025-03-13 at 7.37.51 AM.jpeg
 
Humu huchukii watu kwani huwajui
Anaekukera au kutukana na kuchangia mada vibaya au kwa kejeli
Unamuweka kwenye Ignore list
 
Uzuri wa JF hatufahamiani waweza kukuta unamchukia Baba yako, Mama yako au Mtu wako wa karibu, tupendane tu.
 
Wewe kenge kwenye uzi wangu nilitukanwa na Bujibuji ukawa unashabikia. Chuki ni sehemu ya maisha yako.
Mkuu kwani ule si mli kuwa mna fanya utani na Bujibuji Simba Nyamaume, mimi ukenge wangu ni kuuliza swali?.

Mkuu mimi niwe na chuki na wewe ili iweje?, hapa napiga hesabu nina order ya mifuko 1200 ya unga wa sembe.
I got no time to beef with anyone!
 
Back
Top Bottom