Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Hapo sasaNtamchukiaje mtu nisiyeijua ata sura yake mkuu? Nawapenda wote
Oya hapo unaharibu unakuwa kama EnuchI mean no malice to nobody
Mwanangu hapo unafeli , unanisagia kunguni na kulipa nguvu Nyabumbu The Mongolian Savage. Sasa kama Mimi Nyau basi yeye ni panya ambaye ni adui yangu namvizia aingie kwenye 19 zangu nilikamate na kulitafuna Kikatili.Nyau de adriz ππ
NakaziaFather of all
Umeshakanganya...Tupendane kwa Lipi!!
I hate all of usπππ
Ila wewe dogo una vituko. Haya matusi nyambulet nyabumbu nyangwisi Maarasmitayo unayotoaga wapi wee nyauMwanangu hapo unafeli , unanisagia kunguni na kulipa nguvu Nyabumbu The Mongolian Savage. Sasa kama Mimi Nyau basi yeye ni panya ambaye ni adui yangu namvizia aingie kwenye 19 zangu nilikamate na kulitafuna Kikatili.
Kaka leo nakuunga mkono, igweeeeeeeee πUkapimwe kwanza akili yako maana inaonyesha una dalili zote za Magonjwa ya akili.
Wow hongera sana, mimi nakupenda sana.Simpendi Chaliifrancisco
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π huyu.
Mie nakupenda sana wewe mwanangu.Father off all na Bujibuji
Wewe MBWA nadhani unaongoza kwenye list.Ukapimwe kwanza akili yako maana inaonyesha una dalili zote za Magonjwa ya akili.
Wote nishawapeleka ignore list hata siwakumbuki πππKupenda, kuponda, hata kuchukia ni haki za mtu. Je ni members wapi unawakened au kuwaponda hapa jf na kwanini?
kweli?imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
BacyclerbacyNtamchukiaje mtu nisiyeijua ata sura yake mkuu? Nawapenda wote
Magonjwa MtambukaUkapimwe kwanza akili yako maana inaonyesha una dalili zote za Magonjwa ya akili.