Ni members gani huwapendi humu JF?

Humu huchukii watu kwani huwajui
Anaekukera au kutukana na kuchangia mada vibaya au kwa kejeli
Unamuweka kwenye Ignore list
 
Uzuri wa JF hatufahamiani waweza kukuta unamchukia Baba yako, Mama yako au Mtu wako wa karibu, tupendane tu.
 
Wewe kenge kwenye uzi wangu nilitukanwa na Bujibuji ukawa unashabikia. Chuki ni sehemu ya maisha yako.
Mkuu kwani ule si mli kuwa mna fanya utani na Bujibuji Simba Nyamaume, mimi ukenge wangu ni kuuliza swali?.

Mkuu mimi niwe na chuki na wewe ili iweje?, hapa napiga hesabu nina order ya mifuko 1200 ya unga wa sembe.
I got no time to beef with anyone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…