Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Please can someone teach me how to tag/mention member humu ndichi?😫napitwa sana na mada kama hizi.
Nina imani mpaka naandika hii comment umeshaelekezwa. Lakini ngoja nijazie unaanza na hii alama(@) bila kuweka mabano halafu una search jina na mara nyingi ukishaandika herufi mbili za mwanzo za jina inaanza kukuletea options. Ms R
 
uandishi, mpangilio na maelezo ya kitanashati zaidi πŸ’ͺπŸ‘Š
 
Coca ni mwanaume 😹🌈
 
uandishi, mpangilio na maelezo ya kitanashati sana πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🀸

Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
 
Unanipa raha sana lazizi wangu unayependwa na kukubalika humu jukwaani na kila mtu utafikiri pesa halali ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…