Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
AiseeSilewi bar za uswazi dogo 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeSilewi bar za uswazi dogo 😂😂😂
Nina imani mpaka naandika hii comment umeshaelekezwa. Lakini ngoja nijazie unaanza na hii alama(@) bila kuweka mabano halafu una search jina na mara nyingi ukishaandika herufi mbili za mwanzo za jina inaanza kukuletea options. Ms RPlease can someone teach me how to tag/mention member humu ndichi?😫napitwa sana na mada kama hizi.
Huyo analo jukwaa lake huko kila kitu anajua yeye😅Mkuu humu kuna wadada matata ,wazuri na warembo wenye akili , nyanyuka uwatizame kwa macho ya nyama ,Acha kuishi kwa hisia ndugu muheshimiwa.
uandishi, mpangilio na maelezo ya kitanashati zaidi 💪👊Kwa warembo wapo wengi tu.
Kwa uchache Kuna Karucee ,ana kingereza Fulani hivi utajua tu huyu ni masomo,alafu atakuwa ni mwanasheria.
Mdada Fulani hivi anaonekana anapenda kuvaa miwani.
Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.
Kuna Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!
Aaliyyah ,huyu ni mrembo sana kwa mwonekano na anajua kupika. Mleta mada usiniulize nimejuaje mapishi yake?
Alafu anapenda kudeka balaa,hahaha.
Ila ana upendo na huruma sana.
Kuna dada yangu mwenyewe Chakorii .
Picha linaanza,Huyu mdada ukiongea nae kwenye simu ana sauti nzuri,wale wadada wa Customer care wa mitandao wakasome. Alafu mguu wake ni ile wanaitwa mguu wa bia. Ana kicheko Fulani hivi amazing,nakifananisha na cha Diva wa wasafi fm (lavidavi).
Kuna mmoja nilimwona kule selfika, skin tone yake tu unajua ni mrembo. Nitamtaja baadae.
Coca ni mwanaume 😹🌈Kwa wadada namuona ephen_ yuko poa sana kanaonekana kadada kastaarabu halafu kasikivu ridging on how she comments.
Lamomy kadada flan kacheshi,kanapenda masihara ila pia kana matani ya ukweli,kiujumla charming humble girl.
Evelyn Salt huyu mwanamama akili nyingi ila aonekana mbabe.
Lastly kipenzi changu mimi nayempendaga cocastic mwanamke mjanja na mjuaji mpaka kaivuka busara yake,yani kwa alivyo ningelimjua ningelimuweka mke wa pili kama ako single.Maana huwapenda wadada wajanja na wajuaji kupitiliza.
Kwa gentlemen nawaona wafuatao;
Poor Brain
Hammaz
Intelligent businessman
100 others
Proved .
uandishi, mpangilio na maelezo ya kitanashati sana 👊💪Kwa wadada namuona ephen_ yuko poa sana kanaonekana kadada kastaarabu halafu kasikivu ridging on how she comments.
Lamomy kadada flan kacheshi,kanapenda masihara ila pia kana matani ya ukweli,kiujumla charming humble girl.
Evelyn Salt huyu mwanamama akili nyingi ila aonekana mbabe.
Lastly kipenzi changu mimi nayempendaga cocastic mwanamke mjanja na mjuaji mpaka kaivuka busara yake,yani kwa alivyo ningelimjua ningelimuweka mke wa pili kama ako single.Maana huwapenda wadada wajanja na wajuaji kupitiliza.
Kwa gentlemen nawaona wafuatao;
Poor Brain
Hammaz
Intelligent businessman
100 others
Proved .
Unanipa raha sana lazizi wangu unayependwa na kukubalika humu jukwaani na kila mtu utafikiri pesa halali ya Tanzania.List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🤸
Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
Kijana,shida nini tena hadi kuitana majina ya ajabu?