Mimi nataja watatu tuu,List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🤸
Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
Asante Ephen, kweli wahuni pia tunazeeka.List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🤸
Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
🤣🤣🤣🤣🙌Asante Ephen, kweli wahuni pia tunazeeka.
Ila kuna character hujaitendea haki hata kidogo🤣
Ipi?😜Asante Ephen, kweli wahuni pia tunazeeka.
Ila kuna character hujaitendea haki hata kidogo🤣
Tusimwage mchele kwa kuku, we jua tu kuna character hujaitendea haki🤣Ipi?😜
Basi nishaijua hiyoo😂Tusimwage mchele kwa kuku, we jua tu kuna character hujaitendea haki🤣
Huwezi kuwa unatuappreciate sisi halafu main character hutaki kusema neno, ungemuweka baada yangu🤣🤣🤣Basi nishaijua hiyoo😂
Mambo yetu mtuachie wenyewe🤸
Kwani kuna mtu sijamueka hapo?Huwezi kuwa unatuappreciate sisi halafu main character hutaki kusema neno, ungemuweka baada yangu🤣🤣🤣
Kumbe watu hadi simu zao mnazoKwa warembo wapo wengi tu.
Kwa uchache Kuna Karucee ,ana kingereza Fulani hivi utajua tu huyu ni masomo,alafu atakuwa ni mwanasheria.
Mdada Fulani hivi anaonekana anapenda kuvaa miwani.
Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.
Kuna Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!
Aaliyyah ,huyu ni mrembo sana kwa mwonekano na anajua kupika. Mleta mada usiniulize nimejuaje mapishi yake?
Alafu anapenda kudeka balaa,hahaha.
Ila ana upendo na huruma sana.
Kuna dada yangu mwenyewe Chakorii .
Picha linaanza,Huyu mdada ukiongea nae kwenye simu ana sauti nzuri,wale wadada wa Customer care wa mitandao wakasome. Alafu mguu wake ni ile wanaitwa mguu wa bia. Ana kicheko Fulani hivi amazing,nakifananisha na cha Diva wa wasafi fm (lavidavi).
Kuna mmoja nilimwona kule selfika, skin tone yake tu unajua ni mrembo. Nitamtaja baadae.
tisha sana gentlemanVishu Mtata ni kijana mtanashati sana, ni gentleman mmoja amazing.
Hata ukiiangalia avatar yake inathibitisha hilo, akivaa hiyo miwani yake kina dada huwa wanalowa kabisa.
Pm yake iko busy 24/7 kwa salam za tudada twa jf, ila mwamba hana hiyana ni very humble man.
Ila sio mbaya labda unanitabiriaKwanini unaniuliza uongo???
Mkwe
Hivi huwa hawatajwi?🤣🤣🤣Kwani kuna mtu sijamueka hapo?
Hmm.. wewe uwe haujatajwa mada kama hii? HaiwezekaniWasiwasi wa bure akati umekua wa kwanza🤸