Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🤸

Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
Mimi nataja watatu tuu,

ephen_ huyu ni binti anatumia aidiii yakiume hapa jf. Smart brain smart upstairs mtoto wakishua corporate women ingawa Mimi napenda kienyeji

Wapili ni ephen_

Watatu ni ephen_
 
List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🤸

Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
Asante Ephen, kweli wahuni pia tunazeeka.

Ila kuna character hujaitendea haki hata kidogo🤣
 
Kwa warembo wapo wengi tu.

Kwa uchache Kuna Karucee ,ana kingereza Fulani hivi utajua tu huyu ni masomo,alafu atakuwa ni mwanasheria.

Mdada Fulani hivi anaonekana anapenda kuvaa miwani.

Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.

Kuna Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!

Aaliyyah ,huyu ni mrembo sana kwa mwonekano na anajua kupika. Mleta mada usiniulize nimejuaje mapishi yake?

Alafu anapenda kudeka balaa,hahaha.

Ila ana upendo na huruma sana.

Kuna dada yangu mwenyewe Chakorii .
Picha linaanza,Huyu mdada ukiongea nae kwenye simu ana sauti nzuri,wale wadada wa Customer care wa mitandao wakasome. Alafu mguu wake ni ile wanaitwa mguu wa bia. Ana kicheko Fulani hivi amazing,nakifananisha na cha Diva wa wasafi fm (lavidavi).

Kuna mmoja nilimwona kule selfika, skin tone yake tu unajua ni mrembo. Nitamtaja baadae.
Kumbe watu hadi simu zao mnazo
 
Back
Top Bottom