Ww waache wakaze fuvu halafu waje kutusumbua.!! π€£π€£π€£Precaution..!π€Έ
Katika kitu siwazii ni pesa katika haya maisha,ndio maana ninaishi hadi na wale walionidhulumu na nawasamehe.πππ Ww vamia pm ukiliwa pesa usilete malalamiko hapa jukwaani.
Huyu nae Mwantumu eti anakazia.Precaution..!π€Έ
Umejoin humu 2019 lakini hujui mambo kama umejoin janaπ€ΈHuyu nae Mwantumu eti anakazia.
π we sema kweli!!Katika kitu siwazii ni pesa katika haya maisha,ndio maana ninaishi hadi na wale walionidhulumu na nawasamehe.
Pesa sio katika kitu kinachoniuma nikipoteza.
Hii Kosugi ni ID yangu ya nne,nime join since 2015.Umejoin humu 2019 lakini hujui mambo kama umejoin janaπ€Έ
Duh !Coca ni mwanaume πΉπ
Akiii ona huyu!!??π we sema kweli!!
Ms R njoo mdogoangu si ulisema unapenda wanaume wenye pesa. Kuna tajiri huku haogopi kumwaga pesa etii..!!! π€£
Urembo na uzuri upo ndani kwa nje mnajiongopea - Ngosha Ze DonAchila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa π
Si umesema unaishi na watu waliokudhulumu na hujali!! Sasa unalalamika nini tena joomooni!! πππAkiii ona huyu!!??
Aaagh Lamomy so mtu mzuri akuingiza shimoni hivi hiviππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ.
Yani ndio unilengeshe kwa kausha damuu pro max!?Si umesema unaishi na watu waliokudhulumu na hujali!! Sasa unalalamika nini tena joomooni!! πππ
Mimi napenda watu ambao sio waoga ndio nimekupa huyo Ms R tena huyo bado hajakubuhu..!! Au nikuitie kausha damu wenyewe OG πππYani ndio unilengeshe kwa kausha damuu pro max!?
ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Aiseee!!
Hata binti mstaarabu(kausha damu mtoto) kama ephen_ ukamkosa jamani wa kunilengesha!?
Mbona kila siku unanisahau Bichwa πππ
muonekani wako wa nje, una akisi pakubwa muonekano wa nadani
Akuuuh nimeghairi,nishakumbuka nina mke.Mimi napenda watu ambao sio waoga ndio nimekupa huyo Ms R tena huyo bado hajakubuhu..!! Au nikuitie kausha damu wenyewe OG πππ
Wizo ana utani na ww πππMbona kila siku unanisahau Bichwa πππ
Bichwa anataka bifu na mim ujue πππWizo ana utani na ww πππ
Hajui km ww pisi kali yenye rangi ya mtume