Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Achila mbali IDs au avatar yake...

Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa 🐒
Urembo na uzuri upo ndani kwa nje mnajiongopea - Ngosha Ze Don

Beauty is in the eyes of the beholder - Anon
 
Si umesema unaishi na watu waliokudhulumu na hujali!! Sasa unalalamika nini tena joomooni!! 😂😂😂
Yani ndio unilengeshe kwa kausha damuu pro max!?
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Aiseee!!
Hata binti mstaarabu(kausha damu mtoto) kama ephen_ ukamkosa jamani wa kunilengesha!?
 
Yani ndio unilengeshe kwa kausha damuu pro max!?
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Aiseee!!
Hata binti mstaarabu(kausha damu mtoto) kama ephen_ ukamkosa jamani wa kunilengesha!?
Mimi napenda watu ambao sio waoga ndio nimekupa huyo Ms R tena huyo bado hajakubuhu..!! Au nikuitie kausha damu wenyewe OG 😂😂😂
 
Back
Top Bottom