Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikumiss tangu wakati ule wa MTUKUTU INSIDER MAN na Mrembo wa mwendokasi IRENEHivo hivo mkuu
Tag imenifikia 👏
siempre, Señor Cassano..!!😍de nada, mi amiga 🥰😍😍
Mbona sitajwi jamani???Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa 🐒
Ahsante sana mkuu 🥰financial services namkubali sana kwakweli.
Umepata siti kweli lo ??
Shem wangu mnafiki nyiee!! 😆🙌🙌 naona unanigawa kilazima!Habari yako crush wa shemeji Darmian
Nisamehe LE MADAME 😂😂 nilisahau jamaniiiiii mademu saivi tupo watatu tu humuuu... 😂😂Bichwa anataka bifu na mim ujue 😝😝😝
Sitaki fimbo nataka papuchi 🙈🙈😂😂😂 Anataka fimbo
😝😝😝😝😝 hapo sawa sawaNisamamehe LE MADAME 😂😂 nilisahau jamaniiiiii mademu saivi tupo watatu tu humuuu... 😂😂
Upo gudi rafiki yangu?
Salama kabisaUpo gudi rafiki yangu?
Humu Jamii Forum sidhani kama Kuna Mabinti aged 18 mpaka 25 wengi wakio humu unaona ni age Go yaani Jua lishazama miaka 35 kwenda juu maana Kungekua na Vijana ungeona Post za ujana zile za kupevuka Humu Kuna mishangazi tuAchila mbali IDs au avatar yake...