Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Mbona sitajwi jamani???
 
Humu Jamii Forum sidhani kama Kuna Mabinti aged 18 mpaka 25 wengi wakio humu unaona ni age Go yaani Jua lishazama miaka 35 kwenda juu maana Kungekua na Vijana ungeona Post za ujana zile za kupevuka Humu Kuna mishangazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…