kwa kweli shobo za gizani nehi nehiπππππUdugu nawachana sitaki shobo gizani
π€£π€£π€£π€£ wizo unaanza kuwavuruga member, sasa we papuchi ya nini??Sitaki fimbo nataka papuchi ππ
Nina imani mpaka naandika hii comment umeshaelekezwa. Lakini ngoja nijazie unaanza na hii alama(@) bila kuweka mabano halafu una search jina na mara nyingi ukishaandika herufi mbili za mwanzo za jina inaanza kukuletea options. Ms R
Naomba urud ukatag io mesej nlosema napenda pesa lakin unanini weweππππππ we sema kweli!!
Ms R njoo mdogoangu si ulisema unapenda wanaume wenye pesa. Kuna tajiri huku haogopi kumwaga pesa etii..!!! π€£
Mdogo angu mdogo angu π€£π€£π€£π€£kuna huyu Evelyn Salt my Dada Shape Matata, Body kinanda ππΎπ€£
Nimekumiss mwenzioMdogo angu mdogo angu π€£π€£π€£π€£
Ahsante mkuu Fundi manyumba π₯°π
Miss you more....tuonane basi dear wangu, tunywe visavannah na vi lager tushtue mainiNimekumiss mwenzio
Kwakweli nashukuru naendelea vyema!Sijambo mamangu za masiku nimekumissssss π
Babe niko Pwani narudi next week au uje tupigwe upepo wa hukuu niniii ππMiss you more....tuonane basi dear wangu, tunywe visavannah na vi lager tushtue maini
Au anakusingizia jamani!?Naomba urud ukatag io mesej nlosema napenda pesa lakin unanini weweπππππ
ngoja aje aseme mwenyewe,, kumbe humu mkichat sana mnafungishwa ndoaππAu anakusingizia jamani!?
Ila tumuite Poor Brain anaweza lithibitisha hili.
Nafurahi kukuona tena jukwaaniNipo mkuu nimebanwa tu na majukumu.
Hamnaa mister anakujua sana anaweza toa ushuhuda na akanena yake kukuhusu.ngoja aje aseme mwenyewe,, kumbe humu mkichat sana mnafungishwa ndoaππ
Shem kama shem si umetaka mwenyewe πShem wangu mnafiki nyiee!! πππ naona unanigawa kilazima!
Haha ntakuja sooooon my dear.Kwakweli nashukuru naendelea vyema!
Mimi zaidi, please fanya hima uje kunijulia hali na wajukuu!π