Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Nina imani mpaka naandika hii comment umeshaelekezwa. Lakini ngoja nijazie unaanza na hii alama(@) bila kuweka mabano halafu una search jina na mara nyingi ukishaandika herufi mbili za mwanzo za jina inaanza kukuletea options. Ms R

😜 we sema kweli!!
Ms R njoo mdogoangu si ulisema unapenda wanaume wenye pesa. Kuna tajiri huku haogopi kumwaga pesa etii..!!! 🤣
Naomba urud ukatag io mesej nlosema napenda pesa lakin unanini wewe😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom