Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Nani mwingine kastaarabika kama Shem binti kiziwi

Asingetajwa huyu huu uzi ungekuwa batili...na ni heri ametajwa mwanzoni kabisa

Tangu nijiunge JF hapo 2016 hadi sasa naandika komenti hii sijawahi kuona ID ya kike isiyo na makuu,uswahili kama ya binti kiziwi

Hongera kwake,namkubali sana

Huwa namfananisha na Cookie πŸ€¦β€β™€οΈ
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka hapo kwenye ushangazi
 
Ni raha sana kuwa appreciated na mtu unayempenda.

I love you girl! 😍
 
Huyo ndio shemeji yangu binti kiziwi

Ana madini sana, ni hazina ya jf, Mungu azidi kumbariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…