Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
SweetyCandyWote mnaosifiana mmekutana mmekulana imebaki tu kusifiana wengine hadi mmezalishana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SweetyCandyWote mnaosifiana mmekutana mmekulana imebaki tu kusifiana wengine hadi mmezalishana aisee
It means a lot....💖💖💖
Long live mkuu....keep inspiring.It means a lot....💖💖💖
You too mkuu. Nashukuru sana 🙏🙏🙏Long live mkuu....keep inspiring.
Mbona ulikuwa huonekani ulikuwa ba huyo muhalifu mwenzio😀Ndo naingia jukwaani my dear young sisy...thank uuu...love uu
Hahahahah nilitoka kidogo huko nilikua very busy my wangu... JF sijaingia nina mwezi sasa...😆 😆 😆Mbona ulikuwa huonekani ulikuwa ba huyo muhalifu mwenzio😀
Mwaa(Kwa sauti ya eliud)😂😂😂
Nani mwingine kastaarabika kama Shem binti kiziwi
Hawa madada wanaonekana ni wazuri na warembo licha ya umri wao kusogea yaani ni mashangazi!
Nifah
Evelyn Salt
Madame B
Joanah
Nuzulat
Halafu kuna mdogo wao huyu anapenda sana ule mchezo!
Cocastic
Nb: Hao madada hapo juu ukimtoa Nifah (Hajajipambanua) wanapenda sana ule mchezo hasa huyo wa mwisho)
Sawa karibu kipenzHahahahah nilitoka kidogo huko nilikua very busy my wangu... JF sijaingia nina mwezi sasa...😆 😆 😆
Love you Raymanu KE 🥰Mimi Nifah er na financial services ndo viboko wangu
Amina. Asante sana kipenzi.Asante pia smart madame B, karibu sana Nyanda za juu Kusini. Wewe ni mtu wa muhimu sana
Ni raha sana kuwa appreciated na mtu unayempenda.Asingetajwa huyu huu uzi ungekuwa batili...na ni heri ametajwa mwanzoni kabisa
Tangu nijiunge JF hapo 2016 hadi sasa naandika komenti hii sijawahi kuona ID ya kike isiyo na makuu,uswahili kama ya binti kiziwi
Hongera kwake,namkubali sana
Huwa namfananisha na Cookie 🤦♀️
Huyo ndio shemeji yangu binti kiziwiAsingetajwa huyu huu uzi ungekuwa batili...na ni heri ametajwa mwanzoni kabisa
Tangu nijiunge JF hapo 2016 hadi sasa naandika komenti hii sijawahi kuona ID ya kike isiyo na makuu,uswahili kama ya binti kiziwi
Hongera kwake,namkubali sana
Huwa namfananisha na Cookie 🤦♀️
Fresh tuPoa vp