Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ boom alitoe wapi akishadisco huyo
Ss hivi kawa Mario hajakwambia??
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ujue wewe ni mshenzi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwaio mimi nichukue marioo nilee sio, unanpenda kwel wew
 
Wifi ww beba huyo uwe unampa vipesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kikubwa kazi zote awe anafanya mpk kule kigoma uvinza afike 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hua najiona nna maneno sana ila hapa nmekoma,,, sitaki mimi ujue sitaki kwel
 
Utajua hujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi tunajua kuoa na kuolewa, hatujui kuachika
Hapana,,uyo lazma anashida kwaio umeniona mie zube nijichukulie tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa ni ivi nimesanukaaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hua najiona nna maneno sana ila hapa nmekoma,,, sitaki mimi ujue sitaki kwel
🀣🀣🀣 Mbona mi mpole jomoooni.!!
Hawajakwambia km mi nimeokoka humu?
 
🀣🀣🀣 Mbona mi mpole jomoooni.!!
Hawajakwambia km mi nimeokoka humu?
kwanza tulianzaje kuchat mimi nawewe mbona najutaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ simtaki kaka ako mm bwana
 
Hapana,,uyo lazma anashida kwaio umeniona mie zube nijichukulie tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa ni ivi nimesanukaaaa
Kijana yuko vizuri shauri yako, PESA tyuu ndo hana mdogo wangu. Ila soon atajipata ww fanya uchukue jimbo mapema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwanza tulianzaje kuchat mimi nawewe mbona najutaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ simtaki kaka ako mm bwana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi natokeaga km β€œMZIMU”
Kaka unaye na unatamba naye
 
Kijana yuko vizuri shauri yako, PESA tyuu ndo hana mdogo wangu. Ila soon atajipata ww fanya uchukue jimbo mapema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nasemaje tokaaaaa poteeaaaaaa nisikuone tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…