Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi natokeaga km β€œMZIMU”
Kaka unaye na unatamba naye
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani kams kwel vile ulivokazana,, ujue unanitia hasira,,, ata kaka ako mwenyewe sjui tulianzaje kuchat πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nasemaje tokaaaaa poteeaaaaaa nisikuone tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi huyu?? Mwenzio nikipotea humu watanitag mpk nikome.!! 🀣🀣🀣
We kaa kwa kutulia WII unaye na utambe naye
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani kams kwel vile ulivokazana,, ujue unanitia hasira,,, ata kaka ako mwenyewe sjui tulianzaje kuchat πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Penzi linatokea popote, tulia kaka akupe true love πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi huyu?? Mwenzio nikipotea humu watanitag mpk nikome.!! 🀣🀣🀣
We kaa kwa kutulia WII unaye na utambe naye
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Shida ni katoto kanasoma ila kangekua kitaani mbona safi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sitaki
 
Kamaliza huyo na kadisco πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ww mle mpk maganda kazi kwako
 
Back
Top Bottom