Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Kesi ya kupoteza Cleensheet iliisha vipi mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Nilitaka niku-tag nikaingiwa mashaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uliogopa nn? Ungenitag tyuuh.
Huo uzi uko wapiiii? Nataka nikajibu hiyo tuhumaa.

Kanitag harakaaa, tena sahivi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uliogopa nn? Ungenitag tyuuh.
Huo uzi uko wapiiii? Nataka nikajibu hiyo tuhumaa.

Kanitag harakaaa, tena sahivi.
Ni kila kona hata hapo juu si unaona Evalini Chumvi kalianzisha


Anyways nafurahi kukuona hapa jukwaani ila nijibu kwa emoji nafsi isuuzike
 
em sema kwelii?
1: Ulisema kuna siku ulienda Makumbusho (DSM) watu wakakushangaa! Sijajua kama waliona kinyago au malaika! Ila mwenyewe ulijisifia!

2: Mwenyewe huwa unajisifia humu kuwa unayaweza! Ukijumlisha na kabila lako ambalo huwa mnaenda unyago plus movie za X, unaonekana bonge la fundi!

Tatizo unaweza kuwa fundi halafu usiwe mtamu! Maligend wenzangu watakuwa wanalifahamu hili!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uliogopa nn? Ungenitag tyuuh.
Huo uzi uko wapiiii? Nataka nikajibu hiyo tuhumaa.

Kanitag harakaaa, tena sahivi.
Wewe ni mdada tena mrembo tu sema umeamua kucheza na hilo biti wanalopiga hivyo hivyo.😁😁
 
J
Jidanganye tu, Midume mingi ina ID za kike humu
 
FaizaFoxy
 

Attachments

  • Screenshot_20230204-164033_Lite.jpg
    962.8 KB · Views: 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu Makumbusho, walinishangaa kwa kuwa nltokelezeaa kinomaa.

Kuhusu mizagamuo niko vyedii, na utamuu ninao wa kushatooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…