Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Yaani wewe kama umeona mambo yamekua kimya hakuna kuitana kwa hapa na pale basi jua Mambo ni Shwaaa kushnei babu G🤸Hebu twende taratibu....
Unamaanisha wewe na mwanangu ni shwaaaaa kushinei??
Mtaniua Kwa pressure
Nimelia sana😂Unajikung'uta vumbi na kutembea kifua mbele, kama hakuna kilichotokea. Hawa vijana wetu, wakishakula na kunawa wanakimbia hadi vivuli vyao.
Shemeji, msalimie Crush wangu 😊binti kiziwi ni Shemeji yangu mkuu.
🤣🤣🤣🤣 wee waache wajimix wakaliwe viboga
Kwa wadada namuona ephen_ yuko poa sana kanaonekana kadada kastaarabu halafu kasikivu ridging on how she comments.
Lamomy kadada flan kacheshi,kanapenda masihara ila pia kana matani ya ukweli,kiujumla charming humble girl.
Evelyn Salt huyu mwanamama akili nyingi ila aonekana mbabe.
Lastly kipenzi changu mimi nayempendaga cocastic mwanamke mjanja na mjuaji mpaka kaivuka busara yake,yani kwa alivyo ningelimjua ningelimuweka mke wa pili kama ako single.Maana huwapenda wadada wajanja na wajuaji kupitiliza.
Kwa gentlemen nawaona wafuatao;
Poor Brain
Hammaz
Intelligent businessman
100 others
Proved .
thank you Sweetheart, you're appreciated here big time Jadda 😍😍KE
Dr Lizzy
binti kiziwi
Shadeeya
ephen_
Carleen
Nifah
ME
Eyce
Proved
Vincenzo Jr
Intelligent businessman
Grahams
The Monk
Acha nikumbuke wengine nitakuja kuongeza
Inawezekana😂😂😂Hivi ujue mimi ndio emt, now nimeamua kuwa eroni tu, najiachia🤣🤣🤣
NaaamIla sio mbaya labda unanitabiria
Kulia ni kawaida ya Ke, wewe lia tu halafu ukikaa sawa nitakuambia jambo🤣Nimelia sana😂
Namuombea msamaha.😂Yaani wewe kama umeona mambo yamekua kimya hakuna kuitana kwa hapa na pale basi jua Mambo ni Shwaaa kushnei babu G🤸
😁😁😁😁Udugu nawachana sitaki shobo gizanitulia udugu wangu😂😂
Marahaba Blackcornshman , hujambo baba?😁Saint Anne na @paulapaul Dr Lizzy ni wamama sijui wadada fulani aijalishi sura zao wala umri wao mjue nawasalimu.
Brother Mad MaxAchila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa 🐒
Nimeshanyamaza niambieKulia ni kawaida ya Ke, wewe lia tu halafu ukikaa sawa nitakuambia jambo🤣
🙄🙄🙄🙄🙄😳😳😳Sio kweli bwana acha utani.Coca ni mwanaume 😹🌈