Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Akuuuh nimeghairi,nishakumbuka nina mke.
Wacha nikitulize๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mfyuuuu.!! Eโ€™m rudi hapa
 
hisia zangu nasema Nifah na ephen_ ni wazuri na sikosei shida ni team wanazoshabikia
Screenshot_20240528-180042.png
 
Back
Top Bottom