Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Ghai na kunijua ananijua😆sawa namsubiri aje pia,, usisahau kunitag akifika.Hamnaa mister anakujua sana anaweza toa ushuhuda na akanena yake kukuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghai na kunijua ananijua😆sawa namsubiri aje pia,, usisahau kunitag akifika.Hamnaa mister anakujua sana anaweza toa ushuhuda na akanena yake kukuhusu.
Nakupokonya hiyo simu, vijana wanakutamani.
Usifanye hivyo🤣Nakupokonya hiyo simu, vijana wanakutamani.
Pole sana😑
😘🙏🙏1. Hannah anaonekana ni mtaratibu, mrembo kisu balaa. Huwa anachangia kwa utulivu sana.
2. Dr Lizzy naye ni kama mrembo msomi mwenye utulivu sana.
3. Ila Evelyn Salt ni shangazi fulani hivi mwenye msimamo mkali hatari na hatakagi mazoea. Huyu ni sawa na Miss Natafuta.
4. Huyu To yeye ni mwalimu mzoefu na mtu poa matured sana.
5. Lamomy ni mcheshi na anapenda kampani sana.
6. Huyu Ms R ni msichana mdogo na ana aibu aibu fulani ila ana heshima sana.
Asante pia smart madame B, karibu sana Nyanda za juu Kusini. Wewe ni mtu wa muhimu sanaNdio maana nakupendaga sana FOCAL
Asante 🥰😍🥰
Tunza hiyo 7K uliyopewa hapo Lumumba bwana Mwashambwa..hawa wadada hiyo 7k haitatosha hata bolt.Unanipa raha sana lazizi wangu unayependwa na kukubalika humu jukwaani na kila mtu utafikiri pesa halali ya Tanzania.
Atakutambulisha yeye mwenyewe, usiwaze.Oya brother huyu mrembo ni shemeji yako kwa njemba gani humu ndani?..aisee nitapiga mtu.
Glory be to God. Be blessed too mkuu🙏🙏🙏🙏For us sapiosexuals, there is no one like the one and only one Heaven Sent - the smartest, eloquent, humble, decent and good advisor to those in need of encouragement and emotional support. Be blessed mama!🙏🏿
Thank you babe@FOCAL 🥰
It means a lot....💖💖💖My heart 💖 always goes for HEAVEN SENT.