Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

Naamin hakuna mtu asiye na makosa au kasoro duniani, JPM alifanya kazi yake kamaliza na waliobaki waache kumkashifu wafanye kazi vizuri tuone matunda na ukomavu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…