Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

Wale washangiliaji wa leo walikuwa ni sukumagang; ha ha ha. Makamanda uchwara kazi mnayo.
Kumbuka mkutano ulikuwa sebuleni kwa mkwere. Ungekuwa kwa sukuma gang si ardhi ingepasuka kabisa. Vilaza wa ccm wangekuwa wajanja wange accept legacy ya huyu mwamba. Ma k jr walivyolipuka aligeuka kama anakula limao ilochanganywa na nyanya chungu
 
Du!
 
[emoji23][emoji23]Kajitia madole na kujinusa
 
Akili yako ichunguze kama inafanyakazi sawasawa. Hata aliye wahi kuwa rais alikili kuwa huyu mtu ni zaidi ya mtu alafu wewe unasema matope VIP wewe
Wewe mpaka uambiwe na mtu, kwani wewe huna akili? Huna macho? Huna masikio? Kwa macho na akili yako, ebu sema alichofanya ambacho hakijawahi kufanyika katika nchi yetu. Sema ambacho hakijawahi kufanyika katika nchi hizi maskini za Afrika.
 
Watu wajinga wano ubinafsi mwingi na hawathamini haki za binadamu wenzao. Watu wajinga huamini umaskini wao umesababishwa na raia wenzao wenye unafuu kidogo kimaisha. Watu wajinga hufurahia sana watu waliowazidi mali, elimu, madaraka, nk wakiumizwa. JPM aliumiza watu waliomkosoa, wenye utajiri kidogo na wale aliowaona wanamzi usomi, maarifa na upeo. Alijizoelea umaarufu kutoka wajinga wenye roho mbaya, wivu, nk.
Umenena ukweli. Hakuna mwenye akili ambaye humchukia aliyefanikuwa, bali hujifunza kutoka kwake.
 
Ujumbe tumeupata, ya kwamba sukuma gang wamechanganyikiwa. Kwamba bado wanaamini jiwe atarudi ikulu.

I pity you!
Hilo jina lenu ni la kijinga sana tena bora mgeacha kuliita maana iko siku litawagharimu. Sisi watanzania ni wa moja, hatuna makundi. Pili watanzania wanaoamini ktk matokeo ya kazi tunalia sana na kumlilia Dkt Magufuli kwa sababu kauli mbaya kama hii ya kwako. Hivi ikitokea rais Samia kafa au Mzee Kikwete halafu kila siku tuseme afadhali msoga gang yamekufa utajisikia raha??? Dkt Magufuli alimfanya JK aheshimike hata ile zawadi ya jana ni kwa sababu yake. Hata wananchi walipenda sana Kikwete kwa sababu ya Dkt Magufuli. Ila kwa sasa Dkt Kikwete na Rais Samia hawapendwi kwa sababu inaonekana kama vile kifo cha Dkt Magufuli walikifurahia na bado watu wao wanafanya sherehe
 
Dkt Magufuli alimfanya JK aheshimike hata ile zawadi ya jana ni kwa sababu yake.
Acha uwongo. Huyu mpumbavu jiwe ubaya aliupanda mwenyewe muache aendelee kuuvuna.

Umesahau allwambia akina Kikwete waache kuwashwawashwa? Alikuwa mshenzi sana mzilankende huyu.
 
Acha uwongo. Huyu mpumbavu jiwe ubaya aliuoanda mwenyewe muache aendelee kuuvuna.

Umesahau allwambia akina Kikwete waache kuwashwawashwa? Alikuwa mshenzi sana mzilankende huyu.
Kumbuka kipindi cha Dkt Magufuli, JK kila mtanzania aliona ni mtu muhimu sana ktk taifa hili maana alituletea rais mzalendo na mchapa kazi, ila bada ya rais Magufuli kufariki heshima yake imepungua na sasa analaumiwa
 
Popularity ya JK ilisababishwa na ukatili na ujinga wa jiwe. Ndiyo maana watu wskawa wanakumbuka mazuri ya JK na kumpenda Sana. Huyu jiwe alikuwa ibilisi na nusu
 
Back
Top Bottom