njia_ya_msalaba
Member
- May 27, 2022
- 11
- 58
Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la
1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la kwanza
2. mali ma rasilimali za Taifa vikiwemo vifaa vya kijeshi na vinginevyo
Katika hili ni dhairi kuwa pasipo ubishi Izrael imefanikiwa sana kuwalinda Raia na wapiganaji wake , huu n ukweli ambao ata mimi siupendii
Japo shambulizi la oct 1 la Irani lilikuwa la ufanisi sana ila halikulenga raia wala kuua mpiganaji yeyote japo liliaribu F35 za kutosha but mali zinatafutwa ila uhai hautafutwi
Izrael juzi Imearibu rasilimali kidgo ila imeondoka na uhai wa wapganaji wetu hili n pigo kubwa sana kwetu waaarabu, tukiukataa ukweli huu tutakuwa vilaza wakubwa kwamba hatujali uhai wa watu wetu.
Ili heshima irudi Irani lazma ilpeleke moto ambao itahakikisha tunawatanguliza raia au wapganaji wa Izrael kwa Lusifa japo kwa mbali nauona mwisho wa Iran na Ayatolla anajua
Mnaweza msinielewe kama mna akili ndogo ila kaa ukijua hapa ni mwenye kisu anapigana na ambaye hana kisu kwa kutumia ngumi hivi unadhani mwenye kisu anaweza kukubali kushindwa kwa namna yoyote? Iran hana kisu maskini Izrael akishindwa atatumia Atomic au hydrogen na huu ndo ukweli